Logo

Rukwa Institute of Business Management

Logo

Rukwa Institute of Business Management

News & Events
Journal Excellence

News & Events

Home Communication News & Events
Stay Updated

Campus Highlights

Stay updated with the latest happenings at RIBM.

"WAHITIMU WAASWA KUWA CHACHU YA MAENDELEO NA UBUNIFU KATIKA JAMII."
03
Jul
Campus News
2026

UJUMBE WA MKUU WA MKOA WA RUKWA KWA WAHITIMU Nawapongeza kwa dhati wahitimu wote wa Rukwa Institute of Business Management (RIBM) kwa kufanikiwa kuhitimu mafunzo yenu. Mafanikio haya ni matokeo ya bidii, nidhamu, uvumilivu na ushirikiano kati yenu, wazazi, walezi, wahadhiri pamoja na uongozi wa chuo. Leo ni mwanzo wa hatua mpya katika maisha yenu. Elimu mliyoipata isiwe cheti cha kutafutia ajira pekee, bali iwe nyenzo ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Dunia ya leo inahitaji watu wenye ubunifu, maadili mema, uadilifu na uwezo wa kutatua changamoto kwa kutumia maarifa na teknolojia. Nawasihi mkawe mabalozi wazuri wa chuo chenu na Mkoa wa Rukwa kwa kuzingatia misingi ya uwajibikaji, uzalendo, nidhamu na kufanya kazi kwa weledi. Msisite kutumia ujuzi mliojifunza kujiajiri, kuanzisha biashara na miradi ya maendeleo, pamoja na kutengeneza fursa za ajira kwa wengine. Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan imeendelea kuwekeza katika elimu na maendeleo ya ujuzi ili kuwaandaa vijana kushiriki kikamilifu katika maendeleo ya Taifa. Hivyo, tumieni fursa hizo kwa ubunifu, kujituma na uzalendo ili mchangie ukuaji wa uchumi wa nchi yetu. Napenda pia kuwapongeza uongozi wa Rukwa Institute of Business Management, wahadhiri na watumishi wote kwa juhudi mnazoendelea kuzifanya katika kuandaa wataalamu wenye maarifa, ujuzi na maadili yanayohitajika katika soko la ajira na maendeleo ya Taifa. Kwa niaba ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, nawatakia wahitimu wote kila la heri katika maisha yenu ya baadaye. Mkawe chachu ya maendeleo, wabunifu, waadilifu na viongozi bora katika maeneo mtakayoyahudumia. Hongereni sana kwa mafanikio haya, na Mwenyezi Mungu awabariki.

RIBM Secures Excellence Award 2025
27
Feb
Campus News
2026

Rukwa Institute of Business Management (RIBM) is proud to have received a Certificate of Recognition for Outstanding Support in the Administration and Facilitation of Higher Education Students' Loans. This recognition was awarded in appreciation of the institution's commitment to ensuring that eligible students successfully access financial support through the Higher Education Students' Loans Board (HESLB), thereby promoting equitable access to higher education and academic success. The award was presented by the Executive Director of the Higher Education Students' Loans Board (HESLB) during an official ceremony held on 1st October 2025 at Royal Tughimbe Hotel in Mbeya City. This recognition reflects the institution's dedication to student welfare, educational accessibility, and its strong partnership with government agencies in advancing higher education opportunities for Tanzanian youth. Rukwa Institute of Business Management remains committed to supporting students in achieving their academic goals and contributing meaningfully to national development through quality education and training.

2026/2027 Admissions Now Open
27
Feb
Campus News
2026

Applications for the 2026/2027 academic year are now officially open. Prospective students are encouraged to apply early to secure their spots in our highly competitive programs in Agriculture, Business, and Health Sciences. Apply online through our portal or visit the campus admissions office.

New ICT Laboratory Commissioned
27
Feb
Campus News
2026

Our newly completed ICT laboratory is now fully operational, featuring 100 high-specification workstations and high-speed fiber connectivity. This facility will serve as the hub for our Computer Science and Information Technology programs. The lab is open to all students from 8:00 AM to 10:00 PM daily.

Online Application ⚡